🔗 ⚙️

ZABURI 23 from 432 by draska

Tracklist
5.ZABURI 232:44
Lyrics

zaburi 23
1 BWANA ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu
2 katika malisho ya majani mabichi
hu. hunilaza
Kando ya maji matulivu
Mhhh huniongoza
3 Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza
katika njia za haki
Kwa ajili ya jina lake;

4 Naam, nijapopita kati ya bonde
la uvuli wa mauti Sitagopa mabaya
Kwa maana wewe upo Pamoja nami
Gongo lako na fimbo yako wako
uuuhh. Vyanifariji

Credits
from 432, released February 27, 2019
LicenseAll rights reserved.
Tags
Recommendations